Kama huna roho ngumu usifungue!

Sina roho ngumu ila nimefungua
 
Kwa wale wanaopenda majini mnaweza kukaa nao hivyo wakiwa kwenye maumbo yao.
 
Bora kuishi na jambazi kuliko nyoka, yaani huyu mdudu alisha laaniwa toka zamani, aliambiwa atugonge kisigino na sisi tuwagonge kichwani,

Ila wanadamu ni kama wanajisahau wanafikiri nyoka anafugika, ndio maana hata wale wanao fuga nyoka mwishowe wana gongwa pia,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…