Bora kuishi na jambazi kuliko nyoka, yaani huyu mdudu alisha laaniwa toka zamani, aliambiwa atugonge kisigino na sisi tuwagonge kichwani,
Ila wanadamu ni kama wanajisahau wanafikiri nyoka anafugika, ndio maana hata wale wanao fuga nyoka mwishowe wana gongwa pia,