Kama huna pesa ya kula Pasaka, fanya mambo haya

Kama huna pesa ya kula Pasaka, fanya mambo haya

Kipato kiendane na matumizi, ndo formula ya kwanza ya uchumi.
 
Nyie nani kawafundisha pasaka ni sherehe ya kufufuka kwa yesu? Wakati Yesu mwenyewe aliwahi kusherehekea pasaka akiwa mtoto?
 
Naumia kuona kuna watanzania hata kupata hiyo kilo ya mchele ni changamoto kabisa 😥
Tukumbuke kuwasaidia wenye uhitaji
 
Pasaka hiyoo! Tujikumbushe tena mambo hayo
 
Back
Top Bottom