Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Ili nimtoe kwanza anipe papuch hataki basi,nakamatia wengine nala,
papuch kibao,ya nini kufanya makubwa,wewe mtoe wenzio wala bureeee.
Ni kama mtu anaetozwa mahari kuanzia laki 3 wakati wenzie wametoa bikra kwa chip kavu tu.
Mkuu uoe aliye bikira maana naona unahasira sana usije ukawa unamtukana kila siku kisa bikirakwe kweli hii nimeipenda asante mwanawane ni kweli kabisa....yaani wazazi wanataka mahari za mamilion wakati mitoto yao yenyewe ilishakuwa damaged goods. Katika watu waliotoa point humu mmu tangu nijiunge wee unaongoza. hongera sana ...dont know why never thot of it this way.
Hahaaa,ndio maana nikasema sisi team mabahili haituhusuIli nimtoe kwanza anipe papuch hataki basi,nakamatia wengine nala,
papuch kibao,ya nini kufanya makubwa,wewe mtoe wenzio wala bureeee.
Ni kama mtu anaetozwa mahari kuanzia laki 3 wakati wenzie wametoa bikra kwa chip kavu tu.
Mkuu uoe aliye bikira maana naona unahasira sana usije ukawa unamtukana kila siku kisa bikira
Bado halijatufundisha lile sakata binti mtangazaji wa ITV nadhani.Kama wewe ni mlala hoi almaarufu fukara epuka sana kuwa na wivu kwa mpenzi wako!
Huna pesa hata ya kumnunulia japo Simu za promotion Tecno, huna uwezo hata wa kumtoa outing,huna uwezo wa kumfanya afurahie kuwa na wewe haupaswi kuwa na wivu!
N.B,ujumbe huu hautuhusu sisi mabahili lkn pesa tunazo
hahahahahahaa umeua kha sijui hata nimuweke kundi ganiKuna boyfriend wangu mmoja alikuwa noma ni hivi kama hupigwi miti no favours.
Meaning no pesa ya matumizi no outings nk birthday presents.
No anything at all na ukimfuata fuata kisa anapesa wewe mwanamke anakulima bure na anakutema kiakili.
Unakuta usiku mzima umeliwa buree hadi asubuhi na hujapewa hata nauli hata uwe malaya mzoefu na tricks za uchunaji hutomuweza