Kama huna moyo - usisome hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama huna moyo - usisome hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Jun 17, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Walevi wawili wazungu msimu wa baridi kali kwao Ulaya, walikwenda makaburini usiku "kutafuta mlo". Wakafukua maiti iliyozikwa jioni ile na kutoa alichokula marehemu kwa ajili yao.

  Mmoja akawa anakula wakati mwengine anajidai hataki huku "akimfanyia uchafu" mwenzake mpaka yule alokuwa anakula "akavitoa vyote". Baada ya kuvitoa tu yule mwengine akawa anaila yeye.

  — We vipi wewe, umenifanyia uchafu mpaka nimevitoa halafu unavila wewe?
  — Nilikuwa ninataka uvipashe moto tu, huoni baridi iliyopo?
   
 2. L

  Lady G JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duuu mazeee hii kareeee
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,148
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Aiiih hawa jamaa wakukaa nao mbali maana hawakawii kukupiga ngumi ili utapike ili wao wafutulu
   
 4. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :hand::hand::hand: HE HE HE HE napita tu japo umenipa uoga!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  macabre!
   
Loading...