Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
eti wanasema ni miss chagga, jamani wachaga ni waremboje lo!
jamani usife tu kabla ujaleta hizo mapesa kwangu halafu ufemiss chagga kama ni wewe mamaa mahela. Niko radhi unichune....mpaka unionee huruma nataka unipe mahaba niue "kichwa kuuma,miguu kutetemeka"
cc; miss chagga
we mchokoziEti wanasema ni miss chagga, jamani wachaga ni waremboje lo!
jamani usife tu kabla ujaleta hizo mapesa kwangu halafu ufe
afadhali hata wewe unanielewanakuelewa sana
jamani usife tu kabla ujaleta hizo mapesa kwangu halafu ufe
kitoweo kimenifuata chenyeweHa ha haaaa, mbuzi afie bucha?
mfilisti achaga basi kuniharibia madili yangu sasa picha yangu kuitoa maana yake ni nini? mbona kunizibia riziki lakini .... weekend nilijua napata hata hela ya safari lager naona unazenguaha ha ha ha miss chagga acha kudanganya watu unakumbuka hii picha yako uliyopiga mwaka jana?
View attachment 307633
jamani usife tu kabla ujaleta hizo mapesa kwangu halafu ufe
na zile hati nimeshaongea na mwanasheria tunatransfer tu hata si hela nyingiAaah mtoto utaniua weye kwa presha. Umesemaje vile.... nikupe kadi na namba ya siri au?