Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
SIku hizi nadhani simu hizi zimemaliza utamu kabsaa wa kutongoza maana demu ukimpigia kwenye simu ni km vile ushamloga, wala hutumii nguvu na ukikutana naye yaani unakuwa ushamaliza kila kitu wewe ni kwenda kumega tu hahaha, ndo maana siku hizi ma Yanki face tu face wanaogopa utaona anaomba namba ya simu halafu akiwa mbali ndo anapiga anaanza kubembeleza, na hayo mayai sasa yanatemewa humo humo hahaha
Hapo umemena, yaani sanaa ya kutongoza imepotea kabisa! Unakuta uko na girlfriend hata miaka miwili huujui mwandiko wake! Maana kila kitu ni kwenye simu na emails! Duh!
Zile barua tulizokuwa tunaandikia shule pale juu imeandika '' Open with a smile, close with a kiss'' wala hazipo tena!
Barua ndani imeanza kwa kuandikwa.....'' Hodi hodi mpenzi, tafadhali fungua mlango wa mapenzi''.