Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

Nyie mnakosea, demu ni kumpa tabasamu la nguvu na kuwa kind kwake! Lugha ya mapenzi haipo kule kwetu usukumani ni nguvu zako tu! chagulaga!
raha sana hasa umkikutana kwenye malisho ya ng'ombe hutongozi ni nguvu zako unakula mzigo...lol
 
Mbaya ukutane na kadem kalikopataga wasaa wakudhuru hapo brooklyn<new york>ndio utashaaaaa..!!
 
Back
Top Bottom