Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,006
- 72,305
DINI IMEKATAZA UTANI'
Angalia Athari Ya Utani: Jamaa Alikua Amekaa BAR Akitazama BIA yake Kwa Zaidi ya DAKIKA 20, Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua BIA Akanywa yote! Jamaa Akaanza Kulia,
Mtani Akamwambia Usilie Nilikutania tu Nitakulipa.
Jamaa Akajibu Hilo Sio Tatizo ila Leo ni Mikosi tu!
Asubuhi kazini Nimefukuzwa, Baada ya Kutoka Nje Gari yangu Ikaibiwa, Kufika Kwangu Nakuta Ujumbe Mke Wangu Kaondoka Hanitaki, Nimekuja BAR na Kutia Sumu Ktk BIA ili Nijiue Ww Umeinywa!
Mtani: Puu Chini, mara strok mguu, mkono na mdomo upande Kwa Woga wa kufa,
KUMBE JAMAA Hakutia SUMU Naye Alikuwa ANAMTANIA tu!