Kama huitaji kupigiwa usiweke namba

Kama huitaji kupigiwa usiweke namba

bolokwabo

Senior Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
114
Reaction score
43
Habar zenu wakuu,kwa pamoja tulitazame hili,hivi inakuaje mtu kwenye facebook kwnye profile yake kaweka namba za sim ili mafriends zake wazione lakn hapohapo cha ajab ukimpia hataki je,kuna haja gan yakuweka namba hadharan kama uitaji kupigiwa? nawasilisha
 
Ukimpigia utaulizwa "namba yangu umeitoa wapi?"
 
Si mueke privacy tu na nyie mnawapigia watu wa watu iweje mbona mna mapayo hivyo
 
Si mueke privacy tu na nyie mnawapigia watu wa watu iweje mbona mna mapayo hivyo
Lakn "mamaafb"smtimes hata humu jf unakuta kuna mjadala flan then anatokea mtu anatupia namba watu wampgie lakn ukimchek hewan anakuwa mkali,je unawekaje namba public then upendi kupigiwa??
 
Lakn "mamaafb"smtimes hata humu jf unakuta kuna mjadala flan then anatokea mtu anatupia namba watu wampgie lakn ukimchek hewan anakuwa mkali,je unawekaje namba public then upendi kupigiwa??

Huyo sasa ameweka mwenyewe public nasema na hao ambao wameweka namba fb.wakipigiwa hawatak waweke tu privacy namba zao
 
Mhhh kwani kila namba unayoiona lazima upige? Halafu wapigaji wana moyo!
 
Labda aliweka hakujua itakua public na hawezi namna ya kuficha taarifa zake.
 
Lakn "mamaafb"smtimes hata humu jf unakuta kuna mjadala flan then anatokea mtu anatupia namba watu wampgie lakn ukimchek hewan anakuwa mkali,je unawekaje namba public then upendi kupigiwa??

Ana watu wake anaotaka wampigie we unakuwa unaleta jam tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom