wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,530
- 5,060
Nenda na wewe ukafeLisemwalo LIPO, na kama halipo, HALIPO.
Jiwe amesha kufa mbona hamuelewi
Nenda na wewe ukafeLisemwalo LIPO, na kama halipo, HALIPO.
Aliyekupa hilo Desa amekudanganya Mwayego!Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Vile vile ukumbuke sehemu ya kaskazini mwa Kenya ni kame sana, muda mwingi hukumbwa na baa la njaa. Hivyo, inaweza kuwa wameruhusu ili Wananchi wao wasiathirike na njaa.Huenda ikawa ni 50/50 ila tujuavyo wengi huja kununua mahindi Tz then wao wana tuletea unga yaan sisi tuna wauzia malighafi then wao wana tuletea bidhaa
Ni kweli kabisa,Vile vile ukumbuke sehemu ya kaskazini mwa Kenya ni kame sana, muda mwingi hukumbwa na baa la njaa. Hivyo, inaweza kuwa wameruhusu ili Wananchi wao wasiathirike na njaa.
Kwa ushuzi huu hata bibi yako wa kijijin hawez kukuelewa!Sukuma Gang kichwani mabumunda,ushuzi huu hauna logic hata kidogoInasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.

Kwamba kama Magu angekuwa hai na Kenya ikaruhusu maindi kuingia, Magufuli angezuia yasiingie Kenya?Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Hizi ni roho mbaya tu KWA umaskin wetu , shida iko wapi hata Kama wakenya walikuja kulima tz ila bado wafanyakazi katika mashamba yao sio wote walitoka kenya, pia bado wengine mazao yamenunuliwa KWA wakulima wetu,so tatizo nini, hata Kama Kinyatta kapitia urais wake ili wafanyabiashara wasifilisiwe ni haki Kama rais kuhakikisha anasupport ana walinda wasifilisike na ndo wajibu wa serikali YOYOTE tofauti na yamwendazake kutaka matajiri ishi Kama mashetani,Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Hujaandika chochote Cha maana!! jaribu kujenga hoja yako vizuri.Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Hana lolote ni wakupuza tu!!Hadithi ya kusadikika hiyo
Ma
Manyang'au tangu lini wakaaminika!? Tz hatujifunzi kwa yaliyotupata ilipovunjika EAC?
Kweli usipoijua historia n8 lazima uwe bichwa la mwendawazimu!
Mama etu Samy stuka ebo !
wacha ndugu zetu walime wakale na watoto!! Akilima mzungu sawa mnachekelea.kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
ngosha mbona mnahangaika sana na huyu mpendwa mama kipenzi?Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Mkuu mbona unanilaumu kwa jambo ambalo huna uhakika nalo?M
Mbona Hayati Magufuli aliwaswaga kama punda na hamkuhoji?! Acheni chuki kwa Mama Samia, huyu ni Rais wetu na Mwenyezi Mungu amemtuma kuturejeshea furaha iliyopotezwa na Magufuli!