Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Mleta mada wewe umelima hekari ngapi wamekukataza usipeleke kuyauza Mpitimbi.
Wazee wa Legacy hawana tena lao soon tutaongea lugha moja tu mamaWivu utawaua misukule wa Magufuli.
Mlizoea siasa za chuki na visa, mama Samia kasema hapana. Hataki kugombana na majirani zake au washindani wake, hatakj uadui bali anataka urafiki.
Mama anawapelekea moto hatari.
Legacy ya marehemu Magufuli inafutwa kwa kasi ya ajabu.
Sasa kama ninyi mmeshindwa kulima,na wao wasilime au??kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.
Mwendazake fc, mtatapatapa sana duniani kwa sasa !!biashara za mazao mengi ya kilimo kutoka Tz, wanunuzi wakubwa ni wakenya, nenda Tanga, Manyara, singida, pwani, Arusha, kilimanjaro, sasa unapokuja na habari ya mahindi hata hueleweki, na mwaka ule ambao walinunua mahindi yao kutoka zambia mkakataa yasipitishwe nchini nako walikuwa wamelima huko?basi tufanye hivi vyoyote itakavyokuwa lakini kupitia kufanya shughuri hizo watanzania wamenufaika nayo!!ACHENI HIZO MUACHENI MAMA AFANYE KAZI!!Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Sasa hapo ndio umeeleza nini.Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Majamaa , ni mabishi kweli!hayataki kabisa kukubali kuwa Meko hayupo tena!!Ivi mwendazake alikuwa anawapiga miti nn, maana kafa lkn bado mnamtukuza ke.nge nyinyi
Mbona Hayati Magufuli aliwaswaga kama punda na hamkuhoji?! Acheni chuki kwa Mama Samia, huyu ni Rais wetu na Mwenyezi Mungu amemtuma kuturejeshea furaha iliyopotezwa na Magufuli!Kwa hiyo wewe unajua makubaliano hayo yanavitu gani? Kwa maana naona tayari umekwishakubaliana nayo!
Nieleze basi kuhusu swali langu nililouliza hapo chini ya bandiko uliloni'quote'.
Twamwache apige kazi, hata kama anatuuza utumwani? Hiyo ni akili ya wapi?
Huwezi kuswagwa tu kama ng'ombe kupelekwa machinjioni bila kuhoji.
Wanatoaje zambia wakati tanzania mahindi ni mengi mpaka yamekosa pa kutunza?Hakuna wafanyabiashara wa mahindi wa Kenya wenye mashamba Tanzania, kama wapo ni wachache Sana.
Halafu nusu ya hayo Mahindi yanatoka Zambia..kwa hiyo unataka kusema wanalima in hadi Zambia.?
HADITHI NJOO UONGO NJOO......
MATAGA ch.upi zimewabana hata kutembea hamuwezi.
Na mama kasema leo Zito Kabwe anakuwa Waziri wa Fedha, Tundu Lisu mwanasheria mkuu.
Mtarudi kwenu Burundi kwa mguu.
mi mchagga wa kibosho nina mahnd yangu yako namanga plz niombe msamahaInasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Mzandiki katika ubora wako. Yaani wakenya walio agiza mahindi Mexico, kwa sababu kwa sababu ya diplomasia mbaya ya JIWE ndo hao hao waje walime Tz halafu wazuie mahindi waliyo lima kuingia nchini kwao penye soko kubwa huu kama si uzandiki ni nini?Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.
Wakujibu haraka mkuu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kwani mahindi yenyewe yanasemaje?
Njoo hapa Tunduma uone canter, Noa, Bodada na baiskeli zinavyopishana kuvusha Mahindi toka Zambia.Wanatoaje zambia wakati tanzania mahindi ni mengi mpaka yamekosa pabkutunza?
Huenda ikawa ni 50/50 ila tujuavyo wengi huja kununua mahindi Tz then wao wana tuletea unga yaan sisi tuna wauzia malighafi then wao wana tuletea bidhaaInasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.