Kama hiki wanachoshangilia CHADEMA ni tumaini jipya ni wazi kuwa hawajitambui

Hivi wewe taga huwa huna kazi yoyote ya kufanya?
24 hours uko JF kuponda serikali na Chadema.

Kwa taarifa yako wanaofurahia na kuunga mkono uongozi wa mama ni watanzania wote. wanaCCM, Chadema,Act na wale wasiokuwa na chama.

Watanzania walikuwa wamechoshwa kabisa na utawala wa kidikteta wa Magufuli. Hawajazoea mambo ya namna hiyo. Ya kutekana na kubambikiziana kodi. Ya kupora mali za wafanyabiashara.
Wewe umejuaje kua 24hrs yupo humu JF kama na wewe haumo humu hiyo 24hrs?

🤣🤣
 
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.

Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.

Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.

Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
Magufuli mbona aliwaachia wale polisi Wala rushwa wa Mwanza na akawarudisha na Job
 
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.

Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.

Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.

Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
Ungetafuta jukwaa la kuandika upuuzi. Huko hii thread yako ingekuwa na sifa zote.
 
Hivi wewe taga huwa huna kazi yoyote ya kufanya?
24 hours uko JF kuponda serikali na Chadema.

Kwa taarifa yako wanaofurahia na kuunga mkono uongozi wa mama ni watanzania wote. wanaCCM, Chadema,Act na wale wasiokuwa na chama.

Watanzania walikuwa wamechoshwa kabisa na utawala wa kidikteta wa Magufuli. Hawajazoea mambo ya namna hiyo. Ya kutekana na kubambikiziana kodi. Ya kupora mali za wafanyabiashara.
Hawa wajane wa mwendazake hawafurahii kuona akina sabaya wakiwajibishwa mkuu
 
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.

Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.

Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.

Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
Chadema imeyasema na kufurahia yote hayo wapi ?!.

Au bila kuitaja hujisikii ?!

Kusifia siasa za mwendazake inabidi kujitoa akili . Yule aliwafaa ninyi siyo binaadamu aliyestaarabika
 
Chadema ni watu jaluo. Unajifanya huoni matamshi yao?
 
Sometimes Kuwa Mjanja ndio huwa ujinga wenyewe....

Lumumba punguzeni chuki, Mwendazake hayupo tena.
 
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.

Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.

Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.

Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
Kifo cha mwendazake kimewaacha mmechanganyikiwa, msijue cha kuandika
 
Falsafa za kuwambia watu wakae na mavi yao au wanawake wapanue? Magufuli was disgrace for humanity

he was a disgrace ilihali ulikubaliana nae kutokukaa lock down na barakoa huvai, who is a disgrace sasa apa
 
Chadema ni watu jaluo. Unajifanya huoni matamshi yao?
Chama kina wasemaji mami . Taja kiongozi hata moja aliefurahia yanayoendelea ndani ya serikali ya Ccm kwa sasa .

U dictator aliokuwa nao mwendazake. Si hulka na silka ya waTz . Ule ulikuwa ni moyo wa kinya Rwanda . Na Mungu ameamua kesi hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom