Kama hiki walichokisema hawa Wanawake Warembo ni kweli basi Wanaume wao wajivunie

Mi nachojua sijaoa ila sijawahi kukosa wanawake sababu mi mkurya tena nasemaga mapemaaaaa,na nikiulizwa na wewe una hasira najibu leta ujinga uone.....wakurya tunajua kupenda ila kama kuna kitu hatupendi ni mwanamke mjinga au asiyejua kulinda heshima yetu..
 
Wanaweza kuwa na hizo sifa zote,sema cha muhimu mwanamke anatakiwa awe mtu wa kujielewa,ukienda kinyume nao ndio huwa wanakuwa wabaya..
 
Back
Top Bottom