seems that killing is your intention foolDo u believe this idiot.He is a die hard politition.His political time is over ,still want to make himself famous by false acusation agaist my country.God Bless America
Some of us are not naive kama ulivyoweka mwenyewe. Ila unatakiwa usome hivo vitu na uone kama kweli inawezekana kwa Marekani kutengeneza earthquake machine or whatever. Enzi ya Cold war Warusi waliwahi kutengeneza hicho kifaa lakini wakaogopa kuitest kwa vile hawakujua impacts zake zitafikia wapi.
Jaribu kuangalia baadhi ya documentaries na utaona mambo ambayo unafikiria hayawezi kutokea duniani lakini yanafanyika.
Katika miaka ya 60 na 70 kulikuwa na majaribio ya kuwafuta watu akili kwa kutumia chemicali ya LSD. Lengo lao ilikuwa ni kuwafeed with information ambayo wanataka wao. Watu hao ambao walifanyiwa majaribio walikuwa kwenye umri wa miaka 40+ lakini baada ya kupata ile dose ya LSD walikuwa wanabehave kama watoto wa mwaka mmoja wanajifunza hata kutumia choo.
Na hao walikuwa madaktari wa Kimarekani (CIA branch) wakifanya majaribio kwa wazungu wenzao Canadians. Ilipokuja kugundulika basi walikimbia Canada na kuchoma moto zile documents. Yule Daktari aliyekuwa anahusika pia alikufa kifo ambacho hakikueleweka.
Hiyo documentary mimi niliiona na hata hao watu waliofanyiwa majaribio. Sasa unabisha kweli kuwa na kifaa ambacho kinaweza kuleta earthquake?
Anything that generates seismic waves hence earthquake.Some of us are not naive kama ulivyoweka mwenyewe. Ila unatakiwa usome hivo vitu na uone kama kweli inawezekana kwa Marekani kutengeneza earthquake machine or whatever. Enzi ya Cold war Warusi waliwahi kutengeneza hicho kifaa lakini wakaogopa kuitest kwa vile hawakujua impacts zake zitafikia wapi.
Jaribu kuangalia baadhi ya documentaries na utaona mambo ambayo unafikiria hayawezi kutokea duniani lakini yanafanyika.
Katika miaka ya 60 na 70 kulikuwa na majaribio ya kuwafuta watu akili kwa kutumia chemicali ya LSD. Lengo lao ilikuwa ni kuwafeed with information ambayo wanataka wao. Watu hao ambao walifanyiwa majaribio walikuwa kwenye umri wa miaka 40+ lakini baada ya kupata ile dose ya LSD walikuwa wanabehave kama watoto wa mwaka mmoja wanajifunza hata kutumia choo.
Na hao walikuwa madaktari wa Kimarekani (CIA branch) wakifanya majaribio kwa wazungu wenzao Canadians. Ilipokuja kugundulika basi walikimbia Canada na kuchoma moto zile documents. Yule Daktari aliyekuwa anahusika pia alikufa kifo ambacho hakikueleweka.
Hiyo documentary mimi niliiona na hata hao watu waliofanyiwa majaribio. Sasa unabisha kweli kuwa na kifaa ambacho kinaweza kuleta earthquake?
Kiranga...kwahi ile Hiroshima ilikuwaje?Walihitaji nini kule?Na ilipokuja kujulikana,wht's the impact to them so far??And what would the Americans gain by earthquaking the hell out of Haiti?
I know America can be evil, I know they did the Tuskegee experiments and all to gain medical knowledge on the human body's natural resistance.But I dont see what they would gain by earthquaking Haiti, to the contrary, they would lose a lot in terms of the backlash when this comes out, they would get all the Haitian refugees and boat people, the considerably numerous Haitian-American constituent would raise hell, so why do it? Even if they have the technology.
Suppose they have the technology, would they squander it by creating this liability that would sooner or later come out?
This simply doesn't add up.
Kiranga...kwahi ile Hiroshima ilikuwaje?Walihitaji nini kule?Na ilipokuja kujulikana,wht's the impact to them so far??
Hoja iliyopo kwenye media ni kwamba jamaa walikuwa wana test hiyo tech,then ikaondoka na Haitians....na walikuwa wanajua incase sthng wrong happens hayo maafa yangetokea,na ndio maana wakatafuta sehemu muafaka ya kujaribia.
Ikija kujulikana waziwazi,watasema tu ni human error....kama W.Bush alivyosema vita ya Iraq kuwa ni just Human error ya CIA.
Kiranga...,wajua hii tuhuma ni nzito sana,kama Hugo Chaves na Russians wangekuwa wameropoka tu bila ukweli wwte,ungeona Gates na Clinton ambavyo wangetunisha misuli a shingo.
Foxnuz wameizungumzia kiaina ila kwa kujifanya wana nukuu maneno ya Hugo.There shud b sthng behind ths catastrophe,kama ni mfuatiliaji mzuri u can learn from the series of events......quick response ya B.Clinton,W.Bush na B.Obama,deployment..activities kule Haiti,kuzuiliwa kwa ndge za Uk, France kwa hoja kuwa US soldiers have right to defend themselves incase any danger posed to them..how can a natural earth quake victims impose danger to the rescuers????????...kwa nini Haiti kutokee machafuko baada ya lile tukio kiasi wanajeshi wa US watumike kutuliza hizo ghasia?wajua wanajeshi wameweka ulinzi mkali ikulu ya Haiti.
It's doesnt bear in mind natural tetemeko la ardhi lilete civil chaos kiasi cha kutaka kuvunjika amani.
Kiranga...kwahi ile Hiroshima ilikuwaje?Walihitaji nini kule?Na ilipokuja kujulikana,wht's the impact to them so far??
Duh, elimu kidogo ya historia ya vita vya dunia yahitajika hapa !
Mnashangaa nini wakati kule wanaishi weusi, na jamaa wanaona hawana hasara kuona weusi wanateketea!
Mwakasege alisema watu wakabisha kwa mathread makubwa hapa...Sasa mambo hayooo yanaanza polepole kuonekana!