]Nilishakoma[/COLOR] kushangaa mambo haya sikun nyingi maana sasa uamegeuka kuwa ni kawaida tu
Mwandishi wa Habari Idrissa Jabir ameandika kwenye gazeti la mwanahalisi haya yafuatayo'
1. Kuna mswada maalum kwa ajili ya mafao ya vigogo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar na familia zao unaandaliwa.
2 Rais akifa. Kizuka (Mjane) wake alipwe pensheni sawa na mshahara wa Rais atakayekuweko madarakani kwa wakati huo
3 Rais Mstaafu akifariki, watoto wake walio chini ya umri wa miaka 18 walipwe penseni sawa na mshahara wa Kima cha chini kwa wakati huo.
4 Makamu wa Rais aliyefariki kabla ya kulipwa stahili zake, familia yake ilipwe stahili hizo kwa niaba yake.
5 Kizuka wa Makamu wa Rais alipwe pensheni kwa miaka mitatu mfululizo kwa kiwango cha mshahara wa mumewe wakati akiwa madarakani.
6 Makamu wa Rais akifariki, watoto wake walio chini ya umri wa miaka 18 walipwe pensheni sawa na mshahara wa kima cha chini kwa wakati huo.
Jamani huyu ndiye mtoto aliyezaliwa kwenye ndoa ya CUF na CCM. Litakuwa toto shababy kweli kweli!!

Kaaaaazi kweli kweli!
kuzungumzia watu ni kuzungumzia mambo binafsi kama vile anakula nini, anavaa nini au amemuoa/kaolewa na nani, lakini kuzungumzia matumizi ya fedha za walipa kodi huko si kuzungumzia mambo ya watu.Don't support IRON BOYS like KIGARAMA, these were borned to talk about People
Mwandishi wa Habari Idrissa Jabir ameandika kwenye gazeti la mwanahalisi haya yafuatayo'
1. Kuna mswada maalum kwa ajili ya mafao ya vigogo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar na familia zao unaandaliwa.
2 Rais akifa. Kizuka (Mjane) wake alipwe pensheni sawa na mshahara wa Rais atakayekuweko madarakani kwa wakati huo
3 Rais Mstaafu akifariki, watoto wake walio chini ya umri wa miaka 18 walipwe penseni sawa na mshahara wa Kima cha chini kwa wakati huo.
4 Makamu wa Rais aliyefariki kabla ya kulipwa stahili zake, familia yake ilipwe stahili hizo kwa niaba yake.
5 Kizuka wa Makamu wa Rais alipwe pensheni kwa miaka mitatu mfululizo kwa kiwango cha mshahara wa mumewe wakati akiwa madarakani.
6 Makamu wa Rais akifariki, watoto wake walio chini ya umri wa miaka 18 walipwe pensheni sawa na mshahara wa kima cha chini kwa wakati huo.
Jamani huyu ndiye mtoto aliyezaliwa kwenye ndoa ya CUF na CCM. Litakuwa toto shababy kweli kweli!!
Hii ndio past tense ya born?????Don't support IRON BOYS like KIGARAMA, these were borned to talk about People