shikwashikwa Senior Member Joined Jun 5, 2015 Posts 188 Reaction score 46 Jun 6, 2015 #21 Hawa bila shaka wako tofauti na wa mh magufuli. Mvua ya samaki si inyeshe tu hata huku kwetu KIANDA IGONDA waganga wapige dili
Hawa bila shaka wako tofauti na wa mh magufuli. Mvua ya samaki si inyeshe tu hata huku kwetu KIANDA IGONDA waganga wapige dili
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,465 Reaction score 1,389 Jun 6, 2015 #22 farao mfilipino said: Mi naombea inyeshe mvua ya mavi! Click to expand... Nasikia huko dar inanyeshaga sana kariakoo na city centre.
farao mfilipino said: Mi naombea inyeshe mvua ya mavi! Click to expand... Nasikia huko dar inanyeshaga sana kariakoo na city centre.
pedama JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 236 Reaction score 144 Jun 6, 2015 #23 niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,847 Reaction score 34,303 Jun 7, 2015 Thread starter #24 pedama said: niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani Click to expand... Nchi zenye neema izo sisi huku kwetu inanyeshaga mvua ya panz wale wanaokataga mahind
pedama said: niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani Click to expand... Nchi zenye neema izo sisi huku kwetu inanyeshaga mvua ya panz wale wanaokataga mahind
abour JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 735 Reaction score 311 Jun 7, 2015 #25 pedama said: niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani Click to expand... Wametokea angani?..
pedama said: niliwahi ona wamekirusha kipindi hiki clouds tv. nilishangaa sana kuona samaki walivyotokea angani Click to expand... Wametokea angani?..
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Jun 7, 2015 #26 mkorinto said: Naomba tz inyeshe ya kuku au kitimoto. Ee Mungu saidia. Click to expand... Looool umenichekesha kilazima!!!eti ya kuku ha ha ha nao wanabebwa na mvua Godness!!
mkorinto said: Naomba tz inyeshe ya kuku au kitimoto. Ee Mungu saidia. Click to expand... Looool umenichekesha kilazima!!!eti ya kuku ha ha ha nao wanabebwa na mvua Godness!!
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,847 Reaction score 34,303 Jun 7, 2015 Thread starter #27 Ila hawa samaki wana roho ngumu jamani Attachments 1433663411415.jpg 91.5 KB · Views: 146