kama hii ni kweli basi kuanzia sasa nami nabadilisha gia yangu angani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,018
16,802
inasemekana kuwa Mwanaume anayependa kufanya TENDO la NDOA ( KUJAMIHIANA ) mara moja tu ( kwa lugha za vijana wanasema kupiga bao moja tu ) huwa anakuwa na uwezekano mkubwa wa kutopata kabisa MAAMBUKIZI ya VIRUSI vya UKIMWI kuliko wale wenzangu na mie Wanaume wanaopenda KUKOMOA ( kwa lugha yetu ya vijana husema lazima chenji irudi ) ambao hutaka kufanya tendo hilo la ndoa mara tatu au tano na hata saba.

wabobezi wa ngono na wale wataalam wa haya mahusiano hebu tusaidieni katika hili ila binafsi kuanzia mwaka huu hadi kifo changu iwe ni kwa Mke au Demu wangu mwendo ni wa bao moja tu ili niweze kujikinga na maambukizi ya virusi vya " NGWENGWE ".
 
Back
Top Bottom