Napingana hii kauli why? Sababu after break up ninuwamuzi wako sasa kuwa malaya..au kuwa mwema. It is up to you.
Ukiendekeza umalaya utakuwa malaya tu..ukiendekeza wema utakuwa mwema
Kutoumia sababu ya mapenzi si sababu ya kukufanya uwe ama uonekane malaya...
Kuumizwa na jambo kunatokana na hali ya akili yako ulivyoiweka/ulivyoiandaa kupokea jambo hilo...
Jinsi akili yake utakavyoiweka ndivyo itakavyokuweka/itakavyokufanya uonekane vipi mbele za watu pale unapoumizwa na jambo fulani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.