Kama hawa ndo tumewapa mamlaka ya kusimamia sheria zetu, Kazi tunayo...............

Chibenambebe

Senior Member
Mar 27, 2012
148
25
Kama wao ambao ndo wanamamlaka ya kusimamia sheria na ndo wanakuwa wa kwanza kuzivunja,Je wanaweza kumsimamia mwananchi wa kawaida kweli? Angalia mwenyewe na uongezee makosa waliyo kiuka.
1. Wako kwenye mshikaki
2. Jamaa wa kati hana helmet
 
Kama wao ambao ndo wanamamlaka ya kusimamia sheria na ndo wanakuwa wa kwanza kuzivunja,Je wanaweza kumsimamia mwananchi wa kawaida kweli? Angalia mwenyewe na uongezee makosa waliyo kiuka.
1. Wako kwenye mshikaki
2. Jamaa wa kati hana helmet

Na huenda huyu mwenye TUKU TUKU asilipwe pesa zake
 
Kwa namana wanaovoongalia inawezekana kabisa wameshakunywa viroba.
 
Kama wao ambao ndo wanamamlaka ya kusimamia sheria na ndo wanakuwa wa kwanza kuzivunja,Je wanaweza kumsimamia mwananchi wa kawaida kweli? Angalia mwenyewe na uongezee makosa waliyo kiuka.1. Wako kwenye mshikaki2. Jamaa wa kati hana helmet
Mshikaki na kutovaa helmet kwenye pikipiki ni kosa kubwa barabarani. Kitendo hiki cha mapolisi kinawakilisha tabia iliyokithiri hapa nchini ya wale wanaotakiwa kuonyesha mfano wa mwenendo bora wanakuwa ndo waharibifu wakubwa. Kwa mfano: baadhi ya waalimu, badala ya kuwalea wanafunzi wa kike, wanawapa mimba, baadhi ya viongozi badala ya kupeleka maendeleo kwa wananchi, wanapeleka kwa familia na wapendwa wao. Uvunjaji wa sheria na maadili ndio ugonjwa wetu mkubwa uliotufikisha watanzania kwenye huu uozo tulimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…