Kama Hawa Ndiyo Wakurugenzi Wetu, Yetu Macho

Maistro 1

JF-Expert Member
Sep 4, 2015
422
181
Wakuu,
Huku Misungwi tuna mkurugenzi mtendaji wa aina yake, maamuzi yake ya kuonewa huruma, ngoja tusubiri tuone outcomes za uongozi wake kwa kipindi chake. Hivi kile kipengele cha experience siku hizi kinazingatiwa?

Zingekuwa nyakati zile za 2005 -2010 ningefafanua A to Z lakini wakati huu wa viongozi wa namna ya mkurugenzi wetu wa Misungwi, naomba niiashie hapa. Ila swari langu la msingi ni la "kale ka-kipingele ka experience siku hizi kanafuatwa?" Maana kiongozi wa watu na especially watumishi, (ili kuleta uwajibikaji, ufanisi na ubora), siyo mtu mdogo na skill ya kwanza anatakiwa asiwe na maamuzi ya kukurupuka na mihemuko.
 
Back
Top Bottom