kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 872
Ni kweli lakn n kwel mtu mwenye EE hapasw kwenda Chuo kikuu? Na kwann iwe mwaka huu? Mbona miaka ya nyuma ilikuwa Na thaman?Kwani lazima uende varsity,nenda vyuo vinavyoendana na passmark zako
Ni kweli lakn n kwel mtu mwenye EE hapasw kwenda Chuo kikuu? Na kwann iwe mwaka huu? Mbona miaka ya nyuma ilikuwa Na thaman?Kwani lazima uende varsity,nenda vyuo vinavyoendana na passmark zako
acha ubishi masomo ya sayansi ni magumu kuliko ya arts, hata kama kuna divison one za sayansi, ndio maana mtu aliyesoma sayansi akifaulu anaweza akasoma kozi yeyote ma akafaulu lakini wa arts hawezi kusoma na kufauluwewe unataka nini unafikri PCM ndoo wanasoma masikini tu kwanini kama anajua yeye masikini asisome kwa bidii kwani hakuna wenye PCM ambao wana division one think twice
Sawa wapo lakn n wangap?Kuna watoto wa masikini waliosomea vibatari pia na wamepata marks nzuri mkuu,ni kweli sio lazima wote waende University
miaka ya nyuma haikuwa na thamani kabisa,ni mpaka mwaka juzi waliposhusha viwango,pia inategemea na ufaulu kama wenye ABCD ,wapo wengi unafikiri wewe mwenye EE ,unapata nafasi?Ni kweli lakn n kwel mtu mwenye EE hapasw kwenda Chuo kikuu? Na kwann iwe mwaka huu? Mbona miaka ya nyuma ilikuwa Na thaman?
Wewe ni mjinga, hivi unaelewa kua mimi niliyesoma PCB naweza kusoma fani yeyote yenye maana duniani hata sheria? Wewe na AAA zako zote za HGL/HKL nenda Kaombe medicine pale Muhimbili kama watakuja! Acha ulofa tumia ajili, tunaongelea facts wewe unatuletea umbumbu wako hapa.Kuna watoto wa masikini waliosomea vibatari pia na wamepata marks nzuri mkuu,ni kweli sio lazima wote waende University
Mkuu pole kwa kufeli PCBWewe ni mjinga, hivi unaelewa kua mimi niliyesoma PCB naweza kusoma fani yeyote yenye maana duniani hata sheria? Wewe na AAA zako zote za HGL/HKL nenda Kaombe medicine pale Muhimbili kama watakuja! Acha ulofa tumia ajili, tunaongelea facts wewe unatuletea umbumbu wako hapa.
Wewe ni mjinga, hivi unaelewa kua mimi niliyesoma PCB naweza kusoma fani yeyote yenye maana duniani hata sheria? Wewe na AAA zako zote za HGL/HKL nenda Kaombe medicine pale Muhimbili kama watakuja! Acha ulofa tumia ajili, tunaongelea facts wewe unatuletea umbumbu wako hapa.
Kwani ni lazima mwende chuo wote?Mtu anaambiwa kua sio lazima aende chuo kikuu, hii kauli wewe umeipenda sio?
mbona 2014-2015 D flat walienda chuo na D 30-39 .........Sasa wewe unataka mtu mwenye E flat ale degree nini,?
we wakshua itakuaaaMtoa mada; kwa mtazamo wangu hoja zako hazina mashiko na wawakilishi wa tcu wako sawa na majibu yao. Tambua hao wawakilishi sio wana siasa ni watalaamu kwa hiyo majibu yao sio ya kukubembeleza kisiasa.
Pia uelewe utendaji kazi wa kiserikali, watu wa TCU kazi yao ni kudahili wanafunzi kwa mujibu wa sheria na wanafunzi wote kwao ni sawa bila kujali umetoka mzumbe,feza,au kata au umesoma PCB au HKL. TCU hawezi kujibu swali la miundombinu iliyoko mashuleni viko vitengo vinahusiana na hilo.
Kwa upande mwingine wanafunzi hao wa kata wakitia juhudi kwa kujisomea kwa nguvu na kusaidiana wanafaulu tu. Wakati serikali inaendelea kuboresha huduma zake wanafunzi waweke juhudi kwenye elimu watafanikiwa.
Na wenye Div 3 form six wanendaje vast, si waende ualimu kama Magufuli.Kwani lazima uende varsity,nenda vyuo vinavyoendana na passmark zako
Umeona ualimu ndo kimbilio la wakosefu eh?Na wenye Div 3 form six wanendaje vast, si waende ualimu kama *******************.
Huo ndio mtazamo wa hao maofisa wa tcu na hata chuo kikuu cha Dar esalaam. Kwa wao ni heri mwenye dv 3 ya form six aende kusoma hapo kuliko mwenye c na d za FTC/diploma. Huu nao ni ujinga ndio maana tunazalisha wahandisi wasio na knoledge wala akili ya kuleta mapinduzi ya viwanda.Umeona ualimu ndo kimbilio la wakosefu eh?
Sasa hivi div.1-3 wote wanasoma ualimu!
Jana kwenye kipindi cha kipima joto ITV kulikua na wadau kadhaa wa elimu walioalikwa kwa ajili ya kujadili upandishaji wa madaraja kwa wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu nchini. Kulikua na watendaji 2 wa TCU ambao walitambulishwa kama maafisa udahili wa tume hiyo.
Yaani mtu anaulizwa hawa wenye diploma waliopata GPA chini ya 3.5 wataenda wapi? Mtu anajibu kwamba eti sio lazima wote waende chuo kikuu, duh kama haya ndio mawazo yao tutegemee ubaguzi wa hali ya juu.
Mtu anazungumzia eti fursa za kusoma stashada na ajira zake ziko nyingi kwahiyo watu wasiogope, yaani mtoto wa maskini aliyesomea kibatari PCM kapata walao EEE anaambiwa kua hana sifa sio lazima aende chuo kikuu.Hatari sana.
Lingine wanaulizwa kwamba hawaoni kwamba huu utakua ni ubaguzi kua wanaosoma shule nzuri ndio watakaofaulu vizuri,akajibu kua mbona kuna shule za kata ziliongoza mtihani mwaka huu? Wangeenda kwenye mazingira ya shule hizo wajionee mazingira yalivyo na pengine ilikua ni kama bahati na sibu tu sidhani kama zitaongoza tena.
Kiongozi anadai kua haoni tofauti kati ya ufaulu wa arts na sayansi, zote sawa tu. Amesahau kua tatizo sio wanafunzi bali ni miundombinu ya shule zenyewe kama maabala na walimu.
Hapo tupo pamoja!Huo ndio mtazamo wa hao maofisa wa tcu na hata chuo kikuu cha Dar esalaam. Kwa wao ni heri mwenye dv 3 ya form six aende kusoma hapo kuliko mwenye c na d za FTC/diploma. Huu nao ni ujinga ndio maana tunazalisha wahandisi wasio na knoledge wala akili ya kuleta mapinduzi ya viwanda.