Kama haupingi utekaji tupe sababu!

Kama haupingi utekaji tupe sababu!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,277
Reaction score
13,920
Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote ya msingi ya kumteka mtu
 
Gwajima alitaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa-Fatma Karume
 
Embu tuambie kwanza; Nani kamteka nani? Maana huenda una unachokijua Ili tarahisishe kazi.
 
Embu tuambie kwanza; Nani kamteka nani? Maana huenda una unachokijua Ili tarahisishe kazi.
Unaunga mkono utekaji nchi kwa sababu yeyote na kwa mtu yeyote? Ndiyo au hapana? Kama ndiyo tupe sababu
 
Gwajima anatumia bendera ya Israel-Zitto
 
Kwa hili la kupinga utekaji gwajima kaitendea haki nchi yetu
 
Una hakika Gani wanatekwa

Kuna diwani mmoja alipotea ....Baada ya wiki ....kumbe kafungiwa na mchepuko hapo DSM (Aisha

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Gwajima alitaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa-Fatma Karume
Fatma karume nae mdini sana hana maana zama za magufuli mdomo ulikiwa juu sana tukaamani ni mpigania haki za usawa kumbe nae ana udini na uzanzibar
 
Back
Top Bottom