Kama hauko tayari kwa haya usioe / kuolewa

Mantrex

Senior Member
May 14, 2015
111
115
Kila jambo lina faida na hasara! Kama katika biashara tunajipanga kwa faida AMA hasara kadhalika katika nahusiano.
Tena katika biashara kujipanga kwa faida au hasara ni jambo endelevu! Kama Leo hukupata hasara basi kesho huwezi jua itakuwaje .
Katika mapenz Hakuna uaminifu kwa asilimia mia! Kwa hiyo kama utaingia katika mahusiano jipange siku moja kuchokwa na mpenz wako na taratibuu hisia zake zitaweza kufifia au kuhamia kwa meingine. Hesabu garama kabla ya ujenzi hutamwona fundi ni mwiz wa cement.
Kama hauko tayar kwa hayo acha kuingia kwenye uhusiano! Ili usije ukaingia katika matatizo ya kuua au kujiua .
Kuna faida nyingi katika mahusiano, kama uhakika wa kiusalama bila magonjwa kama mna jihami na kujilinda, na uhakika Wa pumziko la kimahaba! La uhakika , faraja na campani. Au kinyume na hayo unapo chokwa ama kuchoka.
Sio lazima kuoa/ kuolewa hauchapwi kama hutofanya hivo ila jipange kwa faida na hasara zake. Kubuka katika dunia unaweza kumbadili mtu mmoja tu ambaye ni wewe.
 
Raha ya ngoma ingia ucheze!
Sio lazima tkubaliane leo muda wako ukifika taratibu utakubaliana nami kimy kimy
 
There is no such called perfect relationship, hakuna kamwe.....
 
Back
Top Bottom