Kama haujawahi kula mgongo

Kama haujawahi kula mgongo

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Dunia sasa imechafukwa kweli kweli ,kuna ambao wanacheka wenzao kwa maovu ambayo ata wao walishawahi kuyafanya kama Konk konk master,

Leo hii ukipita kijiwe kupiga story kati ya story zote lazima utapata na story ya mwajuma ndala ndefu kuzibuliwa mtaro na mzibuaji yupo hapo kwa kijiwe ndio anawastorisha,

Hakuna cha Ke wala Me uoga wametupa kule,wameshasahau hiyo dhambi ndio dhambi kuu iliyoangamiza miji ya Sodoma na gomora,


Wapo wachache ambao hawajawahi kufanya hicho kitendo either kuzibua mtaro kwa Me or kuzibuliwa kwa Ke,

Binafsi nawala sana maduu na nilishakutana na Aina nyingi sana za maduu lakini sijawahi shawishika kumgeuza mgongo na nilishaapa sitofanya hivyo kamwee.


Kama na wewe hujawahi kula goti na hautegemei kumgeuza duu mgongo au kugeuzwa kwa Ke huu ndio uzi wetu wa kujidahi ,
Wale mabasha wote tafadhari msiutie najisi uzi wetu hapa ni kwa watu ngangari tu.
 
Hicho kikombe kinipite daima. japo ugojw wng ni kuwa na show zenye mizigo ila kupitia mlango wa nyuma hapana
 
Back
Top Bottom