Kama hatufuati Katiba ni kajitabu tu. Ina maana hakuna Raisi, hakuna Polisi wala hakuna nchi wala Serikali

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Kama hatufuati katiba ni kajitabu tu, inamaana hakuna raisi, hakuna polisi wala hakuna nchi wala serikali kila mtu kivyake katiba ndio msingi.

Watu wasio na akili waambieni katiba ndio msingi kama haipo inamaana hakuna amiri jeshi wala JWTZ wala nani kila mtu ni kama hayupo tu. sasa inakuwa je mtu avunje katiba alafu bado awe amiri jeshi ?

kuna ujinga mwingi sana unamuona mtu amevaa sare za jeshi anampigia saluti mtu aliye vunja katiba na kujisimika madarakani tuache kuwa malofa unampa saluti kwa miongozo gani wakati tumeamuwa kuifanya katiba haipo sheria za saluti zimetoka wapi?
 
kuna ujinga mwingi sana unamuona mtu amevaa sare za jeshi anampigia saluti mtu aliye vunja katiba na kujisimika madarakani tuache kuwa malofa.
Form 4 failure unategemea nini? Tena inakuwa worse ikijumuisha na wenzetu wa dini ile ya usultani wa Oman. Halafu Hawa watanganyika akina cdf , igp na wengine wanaaxha ushenzi kama huu unatamalaki
 
Ni mwehu tu anayeweza kuwaelewa hawa jamaa. Yaani hicho hicho kitabu ndo kilimpa yeye kula (2021-2025) alafu eti anakiita "kajitabu". Na hajuhi kupitia hicho kitabu yeye ni mtumwa wetu badala yake anageuka chatu mkubwa na kuanza kututisha na kutuua
 
Kama hatufuati katiba ni kajitabu tu, inamaana hakuna raisi, hakuna polisi wala hakuna nchi wala serikali kila mtu kivyake katiba ndio msingi.

Watu wasio na akili waambieni katiba ndio msingi kama haipo inamaana hakuna amiri jeshi wala JWTZ wala nani kila mtu ni kama hayupo tu. sasa inakuwa je mtu avunje katiba alafu bado awe amiri jeshi ?

kuna ujinga mwingi sana unamuona mtu amevaa sare za jeshi anampigia saluti mtu aliye vunja katiba na kujisimika madarakani tuache kuwa malofa unampa saluti kwa miongozo gani wakati tumeamuwa kuifanya katiba haipo sheria za saluti zimetoka wapi?
kuna ujinga mwingi sana unamuona mtu amevaa sare za jeshi anampigia saluti mtu aliye vunja katiba na kujisimika madarakani tuache kuwa malofa unampa saluti kwa miongozo gani wakati tumeamuwa kuifanya katiba haipo sheria za saluti zimetoka wapi? 📌🔨
 
Back
Top Bottom