Kama hali ndio hii, nitajieni mkoa mmoja tu CCM itashinda kura za Urais, mmoja tu

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,856
16,751
Jamani, kweli kifo kikifika, kimefika tu...Hata ufanyaje, kifo hakikwepeki...

Hadi sasa, hakuna dalili hata ya MKOA mmoja CCM kushinda kura za Urais, hata ile mikoa ambayo ilikuwa CCM mfano Morogoro, sasa hivi yoote ni LOWASSA, UKAWA...najua hamtaamini..huu ndio ukweli..hali ni mbaya mbayaa kwa CCM...hakuna jinsi...

Mikoa yenye kura nyingi sana, popular votes, yoooteeee ni Lowassa, Ukawa...

Eg. Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa, Kigoma, Mtwara, Songea ( Ruvuma), Morogoro, Geita, Pemba, Unguja, Manyara, Pwani...Shinyanga, Mara, Dodoma, Singida, Tabora...yaani sehemu kama KAHAMA ndio usiseme 100% UKAWA...

Nikasema ngoja niangalie makundi ya watu wanaokubali ukawa, Lowassa, majibu yanatisha..

1: Machinga 99%. UKAWA, LOWASSA
2: Bodaboda 100% Ukawa, Lowassa
3: Waalimu 95% Ukawa Lowassa
4: Wafugaji 100% Ukawa, Lowassa
5: Wakulima 85% Ukawa,Lowassa
6: Wana vyuo 97% Ukawa, Lowassa
7: Mama ntilie, 95% Ukawa,lowasaa
8: Wafanya kazi 85% Ukawa, Lowassa
9: UVCCM, 80% Lowassa
10: UWT, 75% Lowassa
11: CCM 60% Lowassa( Najua hapa mtakataa)
12: Wazee 70% Lowassa
13: Albinos 90% Lowassa
14: Masheikh 80% Lowassa
15: Maaskofu 80% Lowassa
16: Waislam 90%, Ukawa, Lowassa
17: Wakristo 80%, Ukawa, Lowassa
18: Wavuvi 80% Ukawa, Lowassa
19: Bavicha 100%, Ukawa, Lowassa
20: Bawacha 100%, Ukawa, Lowassa
21: Waandishi wa habari 75% Lowassa..

Kweli wananchi wameamua, mmmhh...!!! wanataka mabadiliko
CHANGE has come to Tanzania...!!

SIONI HATA mkoa mmoja, CCM itakao shinda kura za URAIS...sioni..!! Hali ni mbaya sana sanaaa...kila mtu, kona, mtaa, wilaya, mikoa,.majiji ni UKAWA, LOWASSA...

Kweli, kifo kikifika, kimefika...nakumbuka ya KANU...!!!

It is TIME for CHANGE...!!!
 
Its now or never.
Siku zilizobaki hadi uchaguzi ni mbaya sana kwa CCM, waombe tufanye uchaguzi hata kesho.
 
Lowassa. ULIPO TUPO!
Tutatembea na wewe mpaka mwisho wa hii safari.
Tukikusapoti kwa hali na mali na kukuhakikishia ushindi wa tsunami.!!!

viva! Musa Allan!
naona umekubali muziki wa EL na ukawa. siasa hazina adui wa kudumu wote wanaotoka ccm kuingia ukawa, kwa wakristu tunasema wameongoka kama "Sauli" alivyoongoka na kuitwa "Paulo" kuja kwao ukawa kutatuongezea nguvu ya vuguvugu la madai ya katiba mpaya rasimu ya pili "warioba"
 
Lowassa. ULIPO TUPO!
Tutatembea na wewe mpaka mwisho wa hii safari.
Tukikusapoti kwa hali na mali na kukuhakikishia ushindi wa tsunami.!!!

hahahaha kna siku nilkutukana matus mazito ukiwa bado unamisimamo ya ugambani ila leo pokea :thumbup::thumbdown:
 
Ama kweli nchi hii ina majuha kibao,ukiona mtu anahama kisa kashindwa kura za maoni huyo si CCM halisi bali ni team Lowassa,hakika tutawafanyia revolution kama jina la chama lilivyo!,pia hatutaruhusu watu hao kurudi CCM baada ya uchaguzi!,tunaanda hoja za moto... UVCCM oyee!
 
Lowassa. ULIPO TUPO!
Tutatembea na wewe mpaka mwisho wa hii safari.
Tukikusapoti kwa hali na mali na kukuhakikishia ushindi wa tsunami.!!!

Du dunia hii kumbe kila kitu kinawezekana? Aiseee..... hapana may b naota au? Ni ww ndg yangu msalan! Haya nawatakieni uchaguz mwema tz
 
Nadhani Mr. president huna utafiti wowote ule, tena nachelea kusema kwamba uwezo wako ni mdogo sana wa kupambanua mambo, au unapiga propoganda ili masaa yaende, nakupa mfano kidogo sana tu, Tabora ni ngome ya ccm, majimbo yote yalikuwa ya ccm naamini chadema wanaweza kupta jimbo moja tu, Mkoa wa Mara Chadema inaweza kuongeza jimbo moja ambalo kimsingi lilikuwa la kwao hapo mwanzo. Watakuwa na majimbo mawili kati ya majimbo 10. Musoma vijijini-prof. muhongo, Butiama yupo Mh. mukono, serengeti yupo Dr. kebwe, bunda yupo Wasira, Mwibara yupo Mh. kangi Rugora, na Lorya Lameki ailo na Bunda vijijini napo pia ccm na mengine. Chadema watapata musoma mjini na Tarime. Bro, achana na kelele za chadema kukuaminisha kwamba watashinda uhaguzi huu.

Hivi inakuingia akilini kwamba UKAWA kwa umoja wao walikuwa na majimbo 31 kama sikosei, leo wanahitaji wapate mjimbo 102 zaidi ili waweze kuongoza serikali, wanafikiria kwa kutumia maji inawezekana, ila wanaofikiria kwa kutumia bongo hawakubaliani na hilo. Naamini kwamba wataongeza wabunge kufikia 50-60, na huo ndo ukweli, Dr. slaa na yy alijtahidi kuongeza wabunge na ss ni zamu ya Lowasa pia kuongeza wabunge kama atakuwa anajieleza vema kwa watanzania japo sina hakika kama ana uwezo huo ukilinganisha na Dr. makufuri.
 
Back
Top Bottom