Kama dharau ikatokea - huko huko wanakofanya dharau hizi - Mh. Naibu Spika

Aliposema 'hukohuko' alimaanisha kwenye mitandao ya kijamii. Watu wenye akili tuligundua mapema sana anachomaanisha.
Excusatio non petita, accusatio manifesta!!! tafuta tafsiri yake na utaelewa kwamba kama kweli una akili hauna haja ya kuutangazia ulimwengu kuwa unazo - nimekuwa msomaji wa JF kwa kipindi bila kuchangia absit iniuria verbis i.e ashankum si matusi i really doubt kama wewe ni mmoja wapo wa hao wanaoitwa wana akili - angalau mimi ninajijua kuwa ni punguani ahahahahahahaha! - nilikuwa napita tu- mbonde yangu macho!!!!
 
Bunge kupitia tume yake ilitoa mapendekezo juu ya hawa jamaa na kashfa yao, Ndugai amepotelea wapi kuongelea hii dharau ya serikali kutowachukulia hatua watuhumiwa hawa? Au jazba tu zile?
 
Back
Top Bottom