d tarimo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 918
- 516
Pale mgombea wa kiti cha Urais anapo shindwa kueleza sera kwa wananchi anaishia kulalamika na kufanya mambo ya siyo yamaana kwenye majukwaa
nimeona mgombea wa ccm mara push up mara arukeruke tatizo hapo ninini
kama anakuwa ameishiwa maneno kwanini tusimwandikie cha kuongea jukwaani akifika tu anasoma
ile timu ya ushindi iko wapi watu 32 wako wapi