Kama Chakula Kipo Kwanini Anawajibu watu Kwa Kejeli

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
Unajua Kama Chakula Kipo Nchini sijui hizo Tani 1.5mil Hakuna Haja Ya Yeye kuwajibu watu Wanaosema Wana Njaa Eti Awapikie...

Kwanini Uwajibu kwa Dharau Na Kejeli wakati Chakula Kipo Kwenye Maghala... Si unapenda Masikini iweje leo wanakuambia wana Njaa Unawajibu kwa Dharau ..

Wakati wamachinga Walipobomolewa Vibanda Vyao uliitisha Press Conference ukasema Wajibu Vizuri na Ukasema Umezunguka Sijui Nchi Nzima Unajua Wapiga Kura ...

Sa Hivi Sukari Imepanda Kwa Sh 100 toka 2100 mpk 2200

Mchele kutoka 1400 mpaka 1600

Watu wanasema Wana Njaa then Jibu linakuwa Wakafanye Kazi... Lowassa Aliposimama Kuwasalimia Watu nao Wakasema Njaa...

Waziri mkuu Alikuwa anatahadhalisha Watu kuwa Kwa Kipindi hiki hali si Nzuri ya Nchi Kwahiyo watu watumie Vyakula vizuri maana Mvua Si Za Uhakika. Ina Maana Alikuwa hajui kuwa kuna Maghala Yenye Vyakula?....
 
downloadfile-5.jpeg


swissme
 
MLIWAPENDA WENYEWE,KWAHIYO NYAMAZENI.TUMEZUNGUUKA NCHI NZIMA TUKISEMA "HAWA JAMAA MIAKA 50 IMEWATOSHA NA SASA NI MUDA WA KUFANYA MABADILIKO" MKATUONA SISI TUNA NJAA,HAYA SASA NJAA IMEKUJA KWENU MLIOTUONA SISI NDIO TUNA NJAA.
 
Haina maana kama wana hizo tani mil 1.5 harafu watu wanalalamika njaa unawajibu hovyo ni kama ni kweli wanazo wagawe
 
Back
Top Bottom