Kwani Arusha CCM ilipopata kiti kimoja mwaka 2015, uchaguzi wa uraisi ulikuwaje?Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1
Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?
Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
Uchaguzi haunaga LINEAR relationship hasa kama some factors like, POLICE, WAHUNI, WEZI WA KURA, are kept constant on their proper trackChukua 42 gawia kwa 43 alafu zidisha kwa miamoja utajua asilimia za matokeo ya uraisi 2020.
2020 vifaru vitakuwa barabaraniPia jiulize kama niuchaguzi tu wa madiwani polisi wanatumia nguvu hivi itakuwaje 2020?
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1
Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?
Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
97.67%Chukua 42 gawia kwa 43 alafu zidisha kwa miamoja utajua asilimia za matokeo ya uraisi 2020.
Nalo ni jambo la kujiuliza hiloNi vyema,lakini kwa namsikitikia JPM kwa kuendelea kuzungukwa na wapiga deal, usalama wa taifa wanafanya nini?kumekuwa na wimbi kubwa ka wanasiasa na viongozi waandamizi wanajificha chini ya kivuli cha ccm kupiga deal
ok umeelewekaBado nitaendelea kusema kuwa ccm imejidhatiti mitaani hivyo lzm ihakikishe inachukua ushindi kadri inavyoweza!,upinzani usipozisoma njia za ccm hlf mkasema mnapambana ni kupoteza muda.
kukaa kusema wananchi wachukue hatua wkt uhalisia unafahamika kuwa wananchi wameshika makali itakuwa ni uhaini,maana atakaeumia anafahamika! hakuta kuwa na haja ya vyama kama vyote vinamuumiza mwananchi!
Tatizo lako ni tafsiri ya neno ushindi. Tume yenu, polisi wenu, uchaguzi wenu, mshindi unategemea atoke wapi?Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1
Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?
Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1
Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?
Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
Viti vya wabunge na madiwani 2020 vitapungua kwa upinzania kama wasipowekeza zaidi kwa propaganda,intelejensia na ICT kuhusu Political issuesSema wamepora ushindi kwa kutumia mapanga, marungu, visu na mtutu wa bunduki. MACCM yanavyochukiwa nchini KAMWE hayawezi kushinda kwa more than 95%