tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1
Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?
Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.