Uchaguzi 2020 Kama CCM imeshinda viti 42 kati ya 43 Udiwani, Uchaguzi mwaka 2020 kwa Uraisi itakuwaje?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1

Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?

Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Chukua 42 gawia kwa 43 alafu zidisha kwa miamoja utajua asilimia za matokeo ya uraisi 2020.
 
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1

Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?

Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
Kwani Arusha CCM ilipopata kiti kimoja mwaka 2015, uchaguzi wa uraisi ulikuwaje?
 
Kama alivyosema Chakubanga kwa sayansi ya marungu, mapanga, visu, mitutu ya bunduki kutoka kwa polisiccm utakuwa ni ushindi mwingine wa KISHINDO kwa kuchukua majimbo yote nchini na dikteta uchwara kuchaguliwa kwa 100%

Zidumu fikra POTOFU za Mwenyekiti wa MACCM.

Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1

Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?

Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
 
Bado nitaendelea kusema kuwa ccm imejidhatiti mitaani hivyo lzm ihakikishe inachukua ushindi kadri inavyoweza!,upinzani usipozisoma njia za ccm hlf mkasema mnapambana ni kupoteza muda.
kukaa kusema wananchi wachukue hatua wkt uhalisia unafahamika kuwa wananchi wameshika makali itakuwa ni uhaini,maana atakaeumia anafahamika! hakuta kuwa na haja ya vyama kama vyote vinamuumiza mwananchi!
 
Ni vyema,lakini kwa namsikitikia JPM kwa kuendelea kuzungukwa na wapiga deal, usalama wa taifa wanafanya nini?kumekuwa na wimbi kubwa ka wanasiasa na viongozi waandamizi wanajificha chini ya kivuli cha ccm kupiga deal
 
Nalo ni jambo la kujiuliza hilo
 
Bado nitaendelea kusema kuwa ccm imejidhatiti mitaani hivyo lzm ihakikishe inachukua ushindi kadri inavyoweza!,upinzani usipozisoma njia za ccm hlf mkasema mnapambana ni kupoteza muda.
kukaa kusema wananchi wachukue hatua wkt uhalisia unafahamika kuwa wananchi wameshika makali itakuwa ni uhaini,maana atakaeumia anafahamika! hakuta kuwa na haja ya vyama kama vyote vinamuumiza mwananchi!
ok umeeleweka
 
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1

Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?

Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
Tatizo lako ni tafsiri ya neno ushindi. Tume yenu, polisi wenu, uchaguzi wenu, mshindi unategemea atoke wapi?
 
Sema wamepora ushindi kwa kutumia mapanga, marungu, visu na mtutu wa bunduki. MACCM yanavyochukiwa nchini KAMWE hayawezi kushinda kwa more than 95%

Viti vya wabunge na madiwani 2020 vitapungua kwa upinzania kama wasipowekeza zaidi kwa propaganda,intelejensia na ICT kuhusu Political issues
 
Tatizo lako ni tafsiri ya neno ushindi. Tume yenu, polisi wenu, uchaguzi wenu, mshindi unategemea atoke wapi?
Kamanda Mbowe anatakiwa kutafuta mbinu za juu zaidi kupambana na Kamanda Mwenzake Magufuli katika issue ya Siasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom