Walianza Tumbua Majipu sasa hivi mchezo umebadilika , Yaliyoiva Hayatumbuliwi tena . Mara faru john, akaje yule mpenzi wake Faru John ..... . WaFanyakazi hewa," Likaja la Mama Yetu .. akatumbuliwa huyohuyo akawa tena mbunge" amekuwa Safi"..
"Usafi jmosii. " panda miti... Madawa, vilainishi...miili saba ...Nauli Bure kwa Walimu ... mashoga .Vyote hivyo yumeshau , Darasa/Muziki. ...
Tuahasahu Vyote Hivyo .. Na sasa tunacheza mziki Mwingine .