gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Kwa kasi ya sakata ben ilivyo kuwa na ukimya wa sasa unaweza fikiri huenda alipatikana kumbe sivyo na badala yake watu walihamia kwa kitwanga kisha Bashite na sasa kuvamiwa kwa Clouds TV.
Yani ni matukio tu ndio yanaendesha nchi badala ya sera.
Na ndio maana raisi leo kasema watu wanapenda sana kuhangaika na udaku kuliko hoja za msingi.
Mnasubiri 2019 wakati muda umeshaisha ndio muanze kuhangaika na mambo muhimu kama habari ya tume huru ya uchaguzi ila kwa sasa mpo busy na habari za Bashite.
Kwakweli tunasafari ndefu sana kama nchi na mtaendelea kuwa wasindikizaji kwenye serikali mpaka mwisho wa hii dunia.