Kama iyo avatar yako
Kwanini?
Yani huyo tukisimama na mimi mi m'bibi kabisa nimempita mbali wakati hata nusu yake sijafika lol
Mchicha,matembele,embe,chungwa etc na mazoeziDuh yani kama vile under 20.Sijui anakula nini mwenzetu?
Hakika amejaaliwa kuwa na umbo la pekee..