tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Wazazi wa huyu mtoto hawakumtendea haki. Baada ya sangoma kushindwa kuunga mfupa, wakakimbilia kwa daktari bingwa wa mifupa.
Just can't imagine the pains he passed throughInasikitisha. Mungu ambariki uponyaji!