Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,592
- 4,472
Nakatetea ka handsome ka watu mkuuππMganga vipi mbona hueleweki ?
Na ulanzi kichwaniππMganga leo umeamka na nini lakini
Nimelia sana asee, watu hawana hurumaKalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu ππ’View attachment 3355543
subiri tutoke msikitini utatukomaKalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu ππ’View attachment 3355543
My nn mkuu πUgonjwa wa swine porks umeingia toka mwez wa 5, unaambukizwa kwa njia ya hewa.na bado hauna kinga wala tiba. Angalia km unafuga hao my wao usipate hasara.
Na kananenepa akana habar japo kanachukiwa mnoππAchana nao ni wivu tu... Nakabariki na kukatakasa kwa jina la Yesu π
Wewe kafiri unamjua?Wewe acha ukafiri...
Kwahyo huyo nguruwe ni handsome