mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 Aug 17, 2018 #1 miaka ya nyuma kuna dawa ya kulainisha nywele ilikuwa inaitwa kalikiti. je ni kweli ilikuwa inaitwa kalikiti? ilo jina lina maana gani? correct me if am wrong
miaka ya nyuma kuna dawa ya kulainisha nywele ilikuwa inaitwa kalikiti. je ni kweli ilikuwa inaitwa kalikiti? ilo jina lina maana gani? correct me if am wrong
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,633 Reaction score 5,615 Aug 17, 2018 #2 curl kit
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,649 Reaction score 21,523 Aug 17, 2018 #3 ilikuwa matata sana chanuo la chuma linachomwa kwenye moto kisha linapitishwa kwenye nywele. Mwenye picha atuwekee tujikumbushe
ilikuwa matata sana chanuo la chuma linachomwa kwenye moto kisha linapitishwa kwenye nywele. Mwenye picha atuwekee tujikumbushe
mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 Aug 24, 2018 Thread starter #4 Truth Matters said: curl kit Click to expand... hahha kumbe ndo hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
Truth Matters said: curl kit Click to expand... hahha kumbe ndo hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Aug 24, 2018 #5 Hiyo harufu ilikuwa balaa. Kwenye Joto la Dar mbaya zaidi. Ikiitwa zege vile vile
mlalo Member Joined Aug 14, 2018 Posts 35 Reaction score 30 Aug 24, 2018 #6 Curl kit maana yake ni, curled hair ni aina ya nywele laini zilizojinyonganyonga kama vile waarabu au hata wasomali. Na kit ni chombo kibebea vifaa vya kazi flani. Kwa hiyo utakuwa umeelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Curl kit maana yake ni, curled hair ni aina ya nywele laini zilizojinyonganyonga kama vile waarabu au hata wasomali. Na kit ni chombo kibebea vifaa vya kazi flani. Kwa hiyo utakuwa umeelewa. Sent using Jamii Forums mobile app