Kwa miaka 50 hakuna sheria inayosema majaji waape kwa Rais ingawa najua huwa wanaapa kwa mazoea tu mnafanya mambo kienyeji enyeji tu,leo wewe AG unasema kuapa mbele ya Rais hakuingilii uhuru wa mahakama,what a nonsense-Tundu Lissu
Nadhani moja ya sifa ya kuwa Mwanasheria Mkuu ni kuwa arrogant maana yake hata Chenge alikua hivi hivi,yaani Werema ana kiburi na dharau hadi anakera mimi ningekua ndo Tundu Lisu ningeshampiga ngumi
Haya ndiyo maneno tunayosema ni ya Viongozi waliofikisika...mawazo yamejaa unyang'au na hayana ujenzi kwa fikra za mtanzania yeyote anayehitaji msaada wa ufahamu.
Huyu ndiye Mwanasheria Mkuu wa Taifa linalotaka ukombozi kisheria, Kikatiba na kimaendeleo!! HAKUNA KITU HAPA!
Nadhani moja ya sifa ya kuwa Mwanasheria Mkuu ni kuwa arrogant maana yake hata Chenge alikua hivi hivi,yaani Werema ana kiburi na dharau hadi anakera mimi ningekua ndo Tundu Lisu ningeshampiga ngumi
Anayevaa nguo za mama yako ndio baba yako lakini Lissu akamwambia nashangaa Ag kwa kuniambia maneno mabaya akaendelea lakini huyu sasa amekiwa mpiga debe wa CCM jana alikuwa akimsifu mwigulu eti ameona mbali kuhusu wapinzani kweli AG ni nosense