Kali ya weekend: Emergency landing...

@Britanica kuja huku utoe ufafanuzi waki. sio kila siku Etjiopian airlin.

hahaaaa!
bilashaka muongozaji alipoteza mawimbi ya mawasiliano baada ya kugida gahawa, ikabidi rubani ajiongoze kwa kutua kwa dharura baada ya kuona ungo wa azam akiifananisha na jumbo jet ya fly emirates!!!
 
wajinga ndio waliwao, wame script iyo na wajinga ndio watavutwa na kupigwa
 
Inaonekana rubani alipata dharura huko angani ikamlazimu kutua nchi jirani kumbe ametua Urusi kwa Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…