Kali ya weekend: Emergency landing...

Nina mchepuko ana utalaamu wa hii kitu, najua hana mapenzi na social media, daah..!! Kanizungusha hii dunia mpaka raha..!! Ila ana wivu huyo usipime..!! Nakumbuka Hollywood tulifanya manyanyaso ni balaa...!!
 
Mshana bwana..
.. Nkajua unaongelea ile ya URUSI walotua kwenye mashamba ya mahindi, na watu wote kupona, anyway huyo bi dada alisahau kanuni .. na KUPARAMIA ANGA La wakubwa ambalo haruhusiwi pita
 
Nina mchepuko ana utalaamu wa hii kitu, najua hana mapenzi na social media, daah..!! Kanizungusha hii dunia mpaka raha..!! Ila ana wivu huyo usipime..!! Nakumbuka Hollywood tulifanya manyanyaso ni balaa...!!
 
Hakuna kitu Kama hicho Kama ni mdondoko angepiga kichwa hapo au tumbo si kulala kwa pozi hilo.
 
Hakuna hivi vitu...

Shetani hayupo,majini hayapo!

Mungu hayupo!

Labda uniambie kuna some physical phenomenon unayofanya mechanically ungo kua na aerofoil behaviour kupaa,otherwise ni mmama alikua anajaribu kupaa na ungo which laws of physics can not be suspended!

Hakuna kitu kama hicho!

Ni mtu alijaribu kufanya upaaji ambao mechanically ni impossible.Kaanguka kaumia then mkamkuta hapo!
 
Hakuna kitu Kama hicho Kama ni mdondoko angepiga kichwa hapo au tumbo si kulala kwa pozi hilo.
Ni rahisi sana kupinga ukiwa nyuma ya keyboard bila kutoa ithibati za kupinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…