Kali ya week end

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Mgonjwa kaingia kwa doctor, doctor mi naumwa lakini nikikueleza utacheka, doctor akamjibu siipo hapa kucheka wagonjwa, kweli doctor hutacheka!!

doctor akamjibu kama huumwi pisha wengine, jamaa akavua suruali yake ana kijiboo kama chunusi, doctor wacha aanguwe kicheko, jamaa akamwambia si unaona doctor unanicheka, doctor ikabidi anyamaze akamwambia enh tatizo nini jamaa akajibu kinauma kimevimba duu doctor ndo kaanguka kwa kicheko.

WEEK END NJEMA:mimba:
 
Ebanaeeeeeeeeeee we mkali ila jaribu kuzingatia masharti na kanuni za JF usijepigwa ban bure kwa lugha yako imekosa tafsida japo ulikuwa na nia njema tu ya kutuongezea siku kwa vicheko vyetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom