Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,304 Apr 25, 2016 #1 wizi wa ng'ombe kwa kutumia Noah...very advanced technology
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,994 12,771 Apr 25, 2016 #2 Dereva anakuwa comfortable kweli katika kuendesha??
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,564 6,848 Apr 25, 2016 #4 Huyo ng'ombe anaonekana kama ni Ndama.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,304 Apr 26, 2016 Thread starter #5 kizaizai said: Huyo ng'ombe anaonekana kama ni Ndama. Click to expand... Ndama mtoto wa ng'ombe
robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 Apr 26, 2016 #6 kizaizai said: Huyo ng'ombe anaonekana kama ni Ndama. Click to expand... hiyo kamba inaonekana ndiyo hand brake
kizaizai said: Huyo ng'ombe anaonekana kama ni Ndama. Click to expand... hiyo kamba inaonekana ndiyo hand brake
Mbimbinho JF-Expert Member Aug 1, 2009 8,328 7,775 Apr 26, 2016 #7 Hapa wakwe zangu wachaga wanasubiri katika sekta hii
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,053 6,388 Apr 26, 2016 #8 kizaizai said: Huyo ng'ombe anaonekana kama ni Ndama. Click to expand... ... Mbona ni ng'ombe mkubwa kabisa huyo
kizaizai said: Huyo ng'ombe anaonekana kama ni Ndama. Click to expand... ... Mbona ni ng'ombe mkubwa kabisa huyo
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,304 Apr 30, 2016 Thread starter #10 ydn said: Nataka tanzania iwe kama ulaya!! Click to expand... Kwa mwendo huu bado sana