Kali ya mapenzi

Kali ya mapenzi

akipata mwanaume mwingine ntafurahi sana.... sina hela za kununua vocha kwaajili ake kila siku
 
ninapo mpa muwa na kumla samzu ya kopo.....................
 
Jambo gani ukifanyiwa na mpenzi wako linakufurahisha sana au linakukera sana?changia mawazo
Jifunze kuandika post na kuelezea nini unataka. Ulichokifanya hapa ni chumvi humohumo na sukari. Kwa ufupi usiwe kama bata uwe kama njiwa
 
:majani7: ndio moyo wangu umekudondokeaga....

Mie mbona nshakudondokea kitambo!
Hata kabla akina M.a.ige hawajaiba Twiga mi nilikua nshakuzimia!
Sasa dear nimetonywa unatembeaga na card mbili za ATM, hebu nambie uko mteja wa Bank ipi na ipi ?
 
Mie mbona nshakudondokea kitambo!
Hata kabla akina M.a.ige hawajaiba Twiga mi nilikua nshakuzimia!
Sasa dear nimetonywa unatembeaga na card mbili za ATM, hebu nambie uko mteja wa Bank ipi na ipi ?

:majani7:nina mastercard na vizacard ya ile bank yenye card za ji-nyama likubwa, :majani7:dia, sweetie, my chokuleti, nitakuachia tu moja ukae nayo, sema wataka ipi, ya master card au ya visa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom