kali ya leo TANESCO Arusha

Kwaroz

Member
Aug 30, 2009
55
10
mimi ni mkazi wa Arusha naishi Suye ninayefanya kazi Dsm na naishi Ubungo karibu na stand ya mkoa. Nikiwa Dar umeme kwa wiki ulikuwa unakatika mara mbili au tatu kwa wiki lakini kwa Arusha hii ni funga kazi mpaka nauchukia mji wenyewe. Nimefika hapa Jpili mpaka leo umeme haujulikani ratiba yake kwa kuwa tunaupata kwa wastani wa masaa matatu hadi manne kwa wenyeji wanasema ni umeme wa kuchajia simu tu wala haitojaa maana hapo kuna kukatikakatika kusoko na idadi.

leo nikawa nimeenda kulipa bili ya umeme nashangaa naambiwa na wafanyakazi wa TANESCO kuwa hakuna umeme hawafanyi kazi, kufika kwa maneja anasema hakuna umeme pia hivyo tuje kesho au umeme ukirudi.

Ama kweli kama shirika linahujumu wananchi wa arusha kazi ipo maana wakazi wote wala hawababaiki na hawana habari tena na umeme. Tena wanaichukia CCM kwa kila jambo maana adha ya umeme imekuwa kero mpaka sasa wananchi wamekubali lakn kuhusu magamba hawataki kusikia.
 
Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,414

Kwani ule mradi wa treni ziendazo kasi wa Mh. mkerwe umeshaanza...au huwa unatumia flight...!?
 
mwanapolo

Senior Member
Mar 29, 2011
194
55
Wakazi wa arusha tumezoea mgao wa umeme, haitupi shida tena.
Kosa letu kuu ni Mh. Lema kuwa mjengoni, hivyo tuna miaka minne ya kusota labda ashindwe kesi iliofunguliwa na Buriani
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Poleni sana. Ccm wanatumia njia ya hatari sana, hawajui kuwa ni vizuri kumpenda adui yako ili uzijue mbinu zake. Wanazidi kujiua bila ya kujijua.
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Wakazi wa arusha tumezoea mgao wa umeme, haitupi shida tena.&lt;br /&gt;<br />
Kosa letu kuu ni Mh. Lema kuwa mjengoni, hivyo tuna miaka minne ya kusota labda ashindwe kesi iliofunguliwa na Buriani
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Hv we Mwanapolo? Kwa mtazamo wako huu mgao ni wa Jiji la Arusha tu ama niwa Kitaifa? Hebu chunguza halafu nitarudi na jibu la kukupa.
 
rasmanyara

Senior Member
Sep 12, 2011
197
18
Janga la Taifa na wakulaumiwa ni Sirikali pamoja na porojo zote ya wazr huska hanna llte.MP anaweza sema ila mwny kushka mpini asitekeleze.mie bado siuamini serekali iliyo madarakni hata siku na moja.
 
rasmanyara

Senior Member
Sep 12, 2011
197
18
MwanaP.Hivi unajua hata Mhs.Lema akiongea hata kwa miguu na mikono,kama huyo waziri huska hajaamua bdo ni kumpgia mbuzi gita.
 
ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,130
918
Wanataka kuwafanyia ninyi mlimpa kura zenu GBL wa CDM na kama ulivyoona kwenye mabango kule Igunga, wanasema eti ninyi mna vurugu!!
 
Kwaroz

Member
Aug 30, 2009
55
10
unajua usipokuwa na upeo wa kufikilia zaidi utabakia hivyo hivyo. Kifupi ni kwamba naishi arusha tangu 2005 mpaka April 2011 nilipoamishiwa Dar lakini kwa sasa familia yangu sijaiamisha kuja Dar hivyo naladhimika kuja Arusha mara kwa mara kwa ajili ya mambo ya kifamilia. Nashauri thinkers muwe mnafikilia nje ya box. Nawasilisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom