Kali ya kufungua wiki!

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
wana JF nikiwa pale TRA maeneo ya Mwenge nakutana na kioja cha mwaka!
nilikuwa nimetinga hapo siku ya J3 tarehe 02/07 kurenew Road Licence ya
kijibajaji changu tukiwa kwenye foleni ya kuelekea NMB kulipa vijisenti vyao
nakutana na jamaa "Sharobaro Style" nae amebeba fomu zake kama za kwangu
kwa nia ya kuelekea NMB kulipa!
Cha Ajabu ni pale huyu bwana alipo nisogelea na kuomba Shilingi 200
nikauliza ya nini? akajibu bro nataka nikasmoke kidogo... Dah nilipigwa na butwa
ya mwaka, nikajiuliza maswali mengi kichwani huku nikitafakari lengo la huyu mtu!
mpaka sasa sijaelewa alitaka nini.. naendelea kushangaa mtu anaye enda kulipa maelfu
au malaki ashindwe 200 ya sigara...Mweeeeeeeeeeeh! inawezekana kweli????
 
Aah! Unashangaa nini mkuu? Si ajabu alitumwa na shemeji yake kwenda kulipia afu hakuna chenji inayobaki,kula kulala tabu mkuu
 
mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!hizo ni style za wezi ungezuga nimejaa misimbazi watupu mfukoni sina vijisent 200!usingepanda bajaji kama hajakusafisha mifuko yako na kukuacha unabeuwa kila kona ya mwili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom