Kali ya kufungia mwaka

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Habari za muda huu wanachama wa Jf na viongozi kwa ujumla,

Sipotezagi muda zaidi wacha niende moja ka moja kwenye mada ,

Usiku wa juzi ijumaa kuamkia jumamosi nilikuwa root night kwenye bodaboda,
Ndipo nikakutana na kali ya kufungia mwaka ,

Kuna limdada flanh bone linafanya kazi kwenye hotel ya la village lilitongozwa na jamaa fulani mida ya mapemaa likakubaliana nae bei ya kung'amua papuch ni elf kumi na tano ,
Basi bhana ile mida ya saa 8 usiku watu wanatawanyika jamaa akamwambia yule mdada kuwa tuhairishe kufanya mapenzi,
Mziki ukaanzia hapo bi mdada haelewi kitu anadai pesa yake 15000 mpaka jamaa akaitoa na kupigwa akapigwa na hilo pande la mdada .

NB, jAMAA ALIKUWA AMELEWA.
 
Mkuu hiyo mbona haina ukali wala nini, ya kawaida tu wala haiwezi kufungia mwaka
 
Huku kwetu ni ajabu mkuu just imagine unaweza kulipa pesa yako kwa bar maid wakati haujala mzigo.
Mko gizani huko. Hapa Dar changudoa utamlipa chake lakini atatafuta nafasi akuibie, akiikosa atakujazia watu kuwa hujamlipa dola zake mia 2, ingawa umeshamlipa alfu 20 zake mlizopatana. Matukio hayo yamejaa hapa mjini mpaka tumeyachoka
 
Back
Top Bottom