Hivi ni kweli kwamba linux hazishambiliwi na Virus??? Na sababu yake ni nini hasa????
#Kwa Anaye fahamu
Nafikiria kuanza tumia ubuntu....
Nafikiria kuanza tumia ubuntu....
Una sababu ya msingi au just for passion ?
Sio kweli !
There's alot of viruses compiled to be run on linux OS, I wonder why it's over hyped.
Saizi kuna huyu W32.Winux ana run kwenye both Windows and Linux.
Linux malware includes viruses, trojans, worms and other types of malware that affect the Linuxoperating system. Linux, Unix and other Unix-like computer operating systems are generally regarded as very well-protected against, but not immune to, computer viruses.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP]
There has not yet been a single widespread Linux virus/malware infection of the type that is common on Microsoft Windows; this is attributable generally to the malware's lack of root access and fast updates to most Linux vulnerabilities.[SUP][2][/SUP]
Ni kitu gani unataka kutahadharisha?
Suppose s/he just wants to be familiar with it?
"Overhyped" ukimaanisha exaggerated claims?
Haya ni maelezo toka Wikipedia:
Kuhusu huyo kirusi uliyemtaja:"W32.Winux is not a platform-independent virus. W32.Winux's initial injection point must be a Windows machine -- it cannot start by infecting a Linux box. "
SOURCE: itworld.com
Una sababu ya msingi au just for passion ?
Ni kitu gani unataka kutahadharisha?
Suppose s/he just wants to be familiar with it?
Asking that doesn't mean nataka kumtahadharisha, you can't urinate on the bed just because you want to be familiar with, while there's "toilet"out there .
NOOOO!!! sababu kubwa ni KUCHOSHWA NA HIZI SOFTWARE ZA KUCHAKACHUA (WIZI)...Tokea mwaka jana naona nafsi inanisuta!!! linux,ubuntu in particular, is an open source...free of charge!! mi nadhani bora hii(ubuntu) kuliko windows ambayo ni ya kuchakachua/wizi..
Kwa sasa nataka install libreoffice (kui-supplimante microsoft office)katika pc yangu ili nianze kuizoea mapema!!
frankly speaking , yeyote anayesema kali linux ni best os ever hajui kabisa maana ya best os au haelewi os ni nini..
Hapa swala lililopo ni kila mtu kuproud cha kwake tena on public kabisa mtu na akili zake timamu anakwambia Kali Linux ni best OS "ain't gonna drag n drop s/he on extremely unintelligent peoples" cuz he speak from his own views .
Better Os depends on your day to day computational tasks.... Best OS never exist.
windows na mac os are still far better....
hawa watu hata mimi nimewashangaa sana, windows na mac os are still far better... tena very far mkuu me nimeweka linux na windows kwenye machine yangu ila honestly huwa natumia linux mara chache sana tena sana and this is what happens to most of us. watu wanazinguliwa na vi interfce vya linux.
Try writing code on a Windows machine