Virtual machines zipo nyingi ila hii ya Oracle ndo imeingia karibuni. Labda jamaa atueleweshe Zaidi.
Zote ni virtual machines, unaposema Vmware inajitegemea unaweza kufafanua kidogo.vmware inajitegemea, ya oracle inaitwa virtualbox hii ni open source na nifree.
Sent from my Nokia Lumia
Uko wapi mkuu, mim naitaji iyo image yake hii yangu ni bad image so ninaitumia ku boot from flash (live CD). Nataka ni install permanent
Niko Dar
Hivi SUSE ni nzuri KULIKO Mint au, leo nimefownload SUSE? Hebu nijuzeni
Zote ni virtual machines, unaposema Vmware inajitegemea unaweza kufafanua kidogo.
Kwa wale wanapenda program za kisayansi kama c++, fortran na zinginezo wanaweza tumia "scientific linux" au "uberstudent". Uberstudent ina msingi kutoka debian ambayo inajulikana kuwa na package mingi.Pia ni rahisi sana kuongeza package zingine za linux kwa kuinstall direct kutoka mtandao.mie nilianza na zorin os nikaja ubuntu nikaenda linux mint sasa nimerudi zangu ubuntu linux zipo bomba sana..
Mjinga Mkubwa wewe kwavile unatumia ASP na .NET na Dreamweaver na zote hizo zinawork kwenye windows ndio maana unasema windows ni best!!!! pambaf mkubwa hebu ulizia servers nyingi za Internet zina run os gani wewe mshambaNaona wanafunzi mko darasani. Hakuna tofauti kati ya OS na OS. Zilizopo ni siasa tu za watu wa open source. Wameshindwa kumpiku Windows. Windows is the best OS mpaka sasa. Lakini kwa kujifunza unaweza tumia OS yoyote lakini si kwa serious issue. You must use windows ni kwa sababu kunasapoti. Open huwa hazina sapoti.
Kuitana wajinga kunatokea wapi tena mkuuMjinga Mkubwa wewe kwavile unatumia ASP na .NET na Dreamweaver na zote hizo zinawork kwenye windows ndio maana unasema windows ni best!!!! pambaf mkubwa hebu ulizia servers nyingi za Internet zina run os gani wewe mshamba
Mnanunua vipc vyenu tayari vipo pre-install windows halafu mnang'ang'ania hivyohivyo viOS vya windows wanaume tulishakimbia huko nyie endeleeni kumtajirisha gates nyambafKuitana wajinga kunatokea wapi tena mkuu
Server kubwa kutumia linux sio kigezo cha ubora, hapa wote tunatumia pc sio server
Os la bure lakini watumiaji hawafiki hata asilimia mbili ya watumiaji wa Pc
Usage share of operating systems - Wikipedia, the free encyclopedia
Umemeza vibaya sana mkuu,Kwenye OpenSUSE kuna Vitual Machine na kwenye UBUNTU kuna Wine. Tofauti yake ni kuwa Vitual Machine inakupeleka kwenye Windos OS na Wine inakuruhusu ku run program moja kwa moja kwenye UBUNTU.
Kuna tofauti gani kumilikiwa na Oracle au kwa VMware kumilikiwa na VMware Inc? yote ni makampuni!!hapo namaanisha vmware haimilikiw na oracle bali iko indipendent
hapo mkuu unachanganya mambo kumtajirisha Gate ni issue nyingine kabisa, tukirudi kwenye OS, kwa nini unafikiria manufactures wana preinstall windows badala ya Linux based OS? Na kutumia Linux hakumaanishi kwamba wewe ndo Mwanaume, Nimeona makampuni makubwa GE na Honeywell bado wanatumia windows DOS. Kama wewe ni mwanaume sijui hayo makampuni yataitwaje?Mnanunua vipc vyenu tayari vipo pre-install windows halafu mnang'ang'ania hivyohivyo viOS vya windows wanaume tulishakimbia huko nyie endeleeni kumtajirisha gates nyambaf
Mkuu huyo amekaririshwa wala hawezi kukuelewahapo mkuu unachanganya mambo kumtajirisha Gate ni issue nyingine kabisa, tukirudi kwenye OS, kwa nini unafikiria manufactures wana preinstall windows badala ya Linux based OS? Na kutumia Linux hakumaanishi kwamba wewe ndo Mwanaume, Nimeona makampuni makubwa GE na Honeywell bado wanatumia windows DOS. Kama wewe ni mwanaume sijui hayo makampuni yataitwaje?
mie nilianza na zorin os nikaja ubuntu nikaenda linux mint sasa nimerudi zangu ubuntu linux zipo bomba sana..
Hivi kwanini zitatoka aina nyingi hivi za Linux badala ya kuboresha chache?
hapo mkuu unachanganya mambo kumtajirisha Gate ni issue nyingine kabisa, tukirudi kwenye OS, kwa nini unafikiria manufactures wana preinstall windows badala ya Linux based OS? Na kutumia Linux hakumaanishi kwamba wewe ndo Mwanaume, Nimeona makampuni makubwa GE na Honeywell bado wanatumia windows DOS. Kama wewe ni mwanaume sijui hayo makampuni yataitwaje?
Kuitana wajinga kunatokea wapi tena mkuu
Server kubwa kutumia linux sio kigezo cha ubora, hapa wote tunatumia pc sio server
Os la bure lakini watumiaji hawafiki hata asilimia mbili ya watumiaji wa Pc
Usage share of operating systems - Wikipedia, the free encyclopedia